TOPBAND

TOPBAND

Saturday, March 27, 2010

SHE CANT BELIEVE!

Wakati naimba kibao cha ASHA huyu mrembo alishindwa kujizuia akaja moja kwa moja kwene stage na kuniangalia kwa ukaribu huo kama kweli naeimba ndo mimi kweli!mhh mambo ya masai club jamani yananoga!

1 comment:

  1. karama: ndio mzazi,pamoja wakilisha...Tunakusoma huku kwa sana..Good idea kuanzisha ths blog

    ReplyDelete