TOPBAND

TOPBAND

Monday, September 27, 2010

VIDEO MPYA YA T.I.D KUZINDULIWA KWA KISHINDO!

Mzigo wa nguvu ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa udi na uvumba hatimaye uko tayari kuzinduliwa mbele ya wadau wa mziki nchini Tanzania,nikiwa naandika habari huku nikiongea na director wa video hiyo bwana JOHN KALLAGE toka kampuni ya kallage pictures amedai amefunika kwani material na maswaga yaliyotumika ni ya hali ya juu sio level za kitoto,karibuni pale ZHONGHUA GARDEN Ally Hassan Mwinyi Road kwa wale wenye mwaliko rasmi na wasio na kadi ni buku tano mlangoni,burudani itangurumishwa na TOPBAND na wasanii wengine waalikwa kama NAKAAYA,JAFFARAY,STEAVE RNB na wengineyo!

Wednesday, September 15, 2010

MAZOEZI YA TOPBAND KUJIANDAA NA SHOW ALHAMISI HII'

TUMEIMISS MASAI CLUB NA TOPBAND WIKI HII

Baada ya matengenezo makubwa CLUB MASAI wamekuja kivingine i wish uje uone ni jinsi gani club imepanuka na sehemu yote kuwa ya kisasa kabisa na wiki hii TOPBAND tunaizindua rasmi kesho tarehe 16|9|2010 mimi kama mkurugenzi wa band nasema KARIBUNI KABISA MPATE KIPENDA ROHO!

OUTING @LEVEL 8'KEMPISKY..MR N MRS TOP

IT was one day before i lost my father in law we were in tha elevator headin tha level 8 he was there mr dj pinyee aliturusha kweli ndipo kinana asked me to take a photo wat a reflection hope imetoka mchicha!

SHEIKH AKIFANYA DUA

SIKU NAMZIKA BABA MKWE 'MZEE SADDAM TANGA'

Thursday, May 27, 2010

KIWANJA KIPYA.

LEO MASAI CLUB PANACHIMBIKA!

HAYA wapenzi wa sanaa za live band muda umefika leo ndo leo hapo MASAI CLUB MBNA patamu sana mziki mzima wa TOPBAND utawasha moto mkubwa chini ya MKALI WAO T.I.D karibu ujimix na mastaa wakweli

JAFFARAI VIDEO SHOOT!

IT looks crazy am puttin this image i wonder if we could get a chick with a same smile n character like her in our video shoot which will take place in bagamoyo on saturday mhh lets wait tuone may be we shud send a ticket kwa miss JULLIANA wat a SMILE!

Saturday, May 8, 2010

HASHIM THABEET AMENIPiGA.

Ilikua majira ya saa kumi unusu nikiwa natoka club billcanas pamoja na rafiki yangu ANNA tukiongozana kuelekea mlango mkubwa wa kioo nikiwa naongea na simu na Hisbert kwa sauti ya juu maana kelele za muziki zilikua zinasumbua nikiwa nimesimama nje ya mlango wa kioo ghafla akatokea bwana HASHIM ambaye alikua counter akiongea na wakata ticket akaja nje na kunipiga bonge la mtama nikaaunga chini ya sakafu na kuzirai kwa dakika kadhaa,mabaunsa wakanibeba na kuniweka pembeni maana nilikua mlangoni,nilipozinduka nilisikia maumivu makali kwenye mabega,mkono wangu wa kulia na mguu ambao unafanya kutembea kwangu kwa taabu,nikaangalia mkononi simu yangu sikuiona tena,nikawauliza mabaunsa wake jamaa amekwenda wapi!wakadai ameondoka tayari...nikajikokota kuelekea kwenye gari yangu na kuelekea polisi kutoa taarifa niweze kupata matibabu,nilipofika nikaaandika statement nikapewa namba ya case CD/RB/6848/10 pia nikapatiwa PF3 nikaenda hospitali nikapata matibabu,sasa hivi niko kitandani siwezi kutembea vizuri,pia nitashindwa kuperfom kwenye harusi ambayo tayari nishalipwa pesa tayari.SWALI langu ni kwanini ameamua kunidhalilisha vile mbele ya CLUB na FANZ ambao nilikua nawatumbuiza?kwanini ameamua kuniharibia kazi yangu?kwanini ameamua kunipiga bila ya kumkosea?JE NI SAWA HIVI JAMANI....naona  MACHOZI YANANITOKA SINA CHA KUMUELEZA MAMA YANGU.

Wednesday, April 28, 2010

MZEE WA TOM TOM HA HA HA HA HAAAAA!

@BOAT BAR with KIBA and mzee wa TOMTOM getin some fresh weather!

HEBU TUPIGE PICHA!

@ THA SPORA'Z STUDIO we had another CHANCE to take a snap .. from far right of me is posin DJ RULE VICTOR,KIBA AND ON MA LEFT MZEE WA TOMTOTOM "BENNY'.....LOCATION LONDON EAST!

TOP NA KIBA FACE TO FACE LONDON!

CHillin @ BOAT bar BEFORE  SPORAH SHOW SOON COMING TO STAR TV me and ALLY first time  DUING A U.K SHOW ESPECIALLY LONDON MHH THIS IJUMAA SAFI KABISA haya wadau wangu naomba tuwe pamoja wakati tunawakilisha hizi sanaaa pande hizi

Monday, April 19, 2010

MGOSI NIKOMESHEEEEEEEEEE!

Huyo ndo MGOSI MKALI WAO WOTE nashukuru kwa kunikomeshea,imenifanya niwe na furaha kubwa hapa nilipo,nakumbuka hapo tuko PLATINUM tukisheherea UBINGWA WA VODACOM PREMIER LEAGUE...duhh kweli MNYAMA NUKSI.....ha ha haaaa haaaaa haaa!

Sunday, April 18, 2010

LEICESTER how WE DID IT!

Wow ladiez really made me do all those crazy moves coz each song they were placing some bills in ma pockets wat a motivation,they liked  RAISA,GALFRIEND,NILIKATAAA all those old skool jamz made them shout my name ...yeah wat a show maana tunza kama jiwe tano za kitanzania hivi,sawa u WORTH IT.

Friday, April 16, 2010

GOD BLESS MY SHOWZ THIS WEEKEND.


It happen to be friday all over tha sudden and am just ready for another busy weekend in united kingdom,leo niko na show nzito pande za LEICESTER na kesho ntakua COVENTRY sawa najua wananisubiri kwa hamu na mimi pia AM IN THA RIGHT MOOD FOR THIS JOB haya jipangeni kwa show KABAMBE toka kwa T.I.D your number ONE in tha country lakini yote hayo yataweza kuwa POSSIBLE kwa uwezo wako wako wewe mwingi wa rehema na ukarimu "ALLAH" pliz give me strength to make this nite,a night to remember with a great perfomance toka kwa KHALID...Oh MY goSH! 
Huo msosi wa nyumbani kabisa hapa niko ughaibuni bt wat a joy maana nahisi bado niko nyumbani kabisa sioni sababu ya kuwa na homesick huyu aliyepiga picha naona mtata hadi anasubiri napiga tonge duuh it was a very taste meal at that point maana spending time in vocal booth sio mchezo huo ubao uliokuja hapo balaaaaaaaaaa.thanks god kwa chakula kitamu!

MSOSI WA MZEE MNYAMA!

Sunday, April 11, 2010

GREAT SHOW IN DUBLIN!

Yeah solo alifungua mzigo kwanza crowd ilikua na mzuka sana all i had to do was to give them tha best of TID which they really enjoyed mhhh wat a place to visit DUBLIN so IRISH and tha english ohh my god they talk like they rhyme....all n all great show big up SOLO THANG,am glad i just got back safe in ma town BUMZ!

DUBLIN


Wednesday, April 7, 2010

KIWANJA KIPYA.

Nadhani hii ndo kwa mara ya kwanza historia ya live shows in united kingdom,kiwanja hiki ndani ya IRELAND ndo mara yao ya kwanza wanapata show ya BONGO FLEVA..pia najiskia furaha kubwa kuwa na SOLO THANG kwa show moja yea travelah wape mawe!

Saturday, April 3, 2010

WAKALI WOTE!

Umeona mwenyewe wadau wote walikuapo hapo namuona BENNY KINYAIYA,MECKY,DJ JESSE and a friend!

HEBU JIONEE MWENYEWE!

From tha moment i finished my perfomance ndo nikawa na kazi ya kuuza image bure kabisa bt na mie sikuacha kuwapiga picha pia wow walipendeza warembo wa kila aina yea london HAZIKABI!

WALIPENDEZAAAAAAAAAA!


Ooooooooooi jamani u can smile back @this smiles mwenyewe unajichekesha haaa haaa haa  them beautifull ladies haya london je leo MILTON KEANES!

LADIEZ!

Was makin them scream my name huh haikua kazi ndogo kuwapa raha warembo wa LONDON!

LONDON NIMEWARUSHA!

Mwenye macho haambiwi tazama u can just guess by lukin kama london bado inampenda TID tena sana jamani lets not hate each other we are doing lots of effort to push this music foward!

INTERVIEW WITH BEN

This was on friday @ben offices after doin tha interview with SPORAH we had to take couples of snaps from left is DJ RULE,MSQ,TOP,SPORAH,CHRISS LOVE AND BENNY huh we then headed to asda to grab some party staff huh kazi kubwa

Tuesday, March 30, 2010

SIWEZI KUSHIRIKI!

Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote kutoka pande zote za sayari hii najua mlikua mnasubiria kunipigia kura kwenye hiki kinyanganyiro cha award hizi za kilimanjaro,najua imekua uamuzi muafaka kwangu kujitoa kwene awards hizi basi naomba muelewe sababu zangu hizi za msingi:
1.Kwanza nahisi mimi kama TID na mziki ninao perfom kwa kipindi chote hiki cha miaka saba toka nimepewa tunzo hizi sina umuhimu wa kuwa shiriki sababu hata nikitengeza wimbo ambao unakubalika sana na wapenzi wa muziki huu wa kizazi kipya sipewi tuzo kwa mantiki hiyo naona sioni sababu ya kuwa kwenye tuzo hizi.
2.Pia nilidhani labda ni upungufu wa mawazo ya majaji ama waandaaji ambao imewezekana nilitofautiana nao kipindi fulani nilipokuwa nafanya nao kazi za maonesho,inauma sana unapoona wengine ambao uko nao kwene same field wanapewa nafasi kubwa ambayo pia mimi nastahili kutokana na juhudi ambazo nafanya kwenye sanaa hii ya kizazi kipya hapa nahisi sihitajiki kwani kama wimbo wangu wa bendi ni bora wa mwaka kwanini nisiwe mwanamuziki bora wa kiume mwaka huo,pia hata video zangu huwa za viwango vya juu nazo hazipewi nafasi kwenye video bora za mwaka!
3.Kwa sababu hizi ambazo mimi naona kwangu hazinijengi sioni sababu ya kuwepo kwenye TUNZO hizi tena kwani sidhani kama ni wakati wa kuwaangusha mashabiki wangu ambao natumia muda mwingi na effort binafsi bila ya mdhamini kuwaunganisha na muziki wangu basi nisameheni kama nimewakosea lakini hainisaidii chochote endeleeni na hao mnaowapa kila category i will never stop making good music for my country surely i wont,i was born to do THIS,..  THANKS.
1.

Monday, March 29, 2010

NIKOMESHEE MANAGER!

Hapa namwona manager dacota akihema kwa kimwana ngwasuma jamani  mbona HAZIKABI ENTERTAIMENT!

QUICK SNAP!

Yea i had to rush for a quick snap coz tha stage was waiting for me oh god could hear tha songlak playing  sikuacha kupiga picha na huyu BINTI yea jana was soooooooooooo fun!

KAZI GANI!!!??

Huyu mrembo alikuwa ndo anaingia ndani mhh kamera yetu iliposhindwa kujizuia heee she iz hot hebu mcheki alivopendeza wow na hako ka beauty spot.......

HIZI BATA JAMANI!

From far left NI TOP,NACHA,NUNUU,KIM AND FATMA.....haikua bata ya kitoto maana ilikatika pesa na bill ya dollar mia mbili guess hapo nani amependeza zaidi mhh huyu dada mwenye black kapoteza!

ALIPOZI NA HAWA WAREMBO!

Mambo hayakuishia hapo pia alijichanganya na mafans kwa ajili ya picha na kadhalika....alipendeza kweli!

HEMEDY AKA PHD"MOVIE STAR!

Hii ilikua live show ya kukata na shoka hapa msanii mualikwa hemedy aka phd akingurumisha ndani ya ukumbi wa platinum hapa alionesha sio kama ni msanii wa playback peke ake ..nah aligonga live na topband...wape raha

Saturday, March 27, 2010

JAMANI TOPBAND TUNAWAZIMIA!

Moyoni kama vile namsemea huyu dada jinsi kazi inavomkuna sana kama namuona akitabasamu kama vile anatuambia jamani mnaimba vizuri mhh basi tabasamu lake hunifanya kuongeza nakshi zaidi kwenye show hizi za MASAI CLUB.

CHID MAPENZI!

Hapa namuona chid mapenzi aka designer akiwa amepozi na warembo wa TOPBAND wakishuhudia burudani ya nguvu bila ya kusahau kuwa mapenzi huwa anahusika kwa kiasi kikubwa kuchagua style ya nguo kwa ajili ya wanamuziki wa TOPBAND umeona!!

NYOMI!

Wananchi hawa hawakuwa nyuma kufatilia show kabambe toka kwa wakali TOPBAND kaka mwenye jezi alikua akifurahia kila nyimbo inayopigwa hebu cheki anavosmile halafu kama katokea kwa mzee KIBAKI!

SHE CANT BELIEVE!

Wakati naimba kibao cha ASHA huyu mrembo alishindwa kujizuia akaja moja kwa moja kwene stage na kuniangalia kwa ukaribu huo kama kweli naeimba ndo mimi kweli!mhh mambo ya masai club jamani yananoga!

Tuesday, March 23, 2010

CLUB AFRIQUE!

Its been 2 years since i had my last show in this east london based party club..yeah afta tha show i can remember gettin some supu,chapati and all kinda african dishes wow cant wait to face my friendly crowd....yeah LONDON MMEJIPANGA!

Monday, March 22, 2010

ANAITWA OMMY DIMPOZ.

Mimi hupenda kumuita sauti ya malavidavi huyu ndo dimpoz mkali wao,huwa hapendelei makuu anaipenda kazi yake na anahakikisha kila mstari anao back huwa kamili nways ukitaka kumjua vema njoo masai club au platinum...hapo ni jana akikamua na bendi yake platinum

KIFAA KIPYA!

Kama hujawahi kumsikia huyu dogo basi ninayo kila sababu ya kumnadi uweze kutambua kipaji chake yeye ni kati ya vijana wapya kujiunga na band hii lakini awezalo yeye huwafanya mashabiki kumpijia kelele za shangwe mhh anastahili kupewa nafasi zaidi aendeleze kipaji chake karibu sana TOPBAND.

BEAUTIFUL LADIES!

Warembo hawa walikuapo ndani ya nyumba PLATINUM jana wakishuhudia mambo ya TOPBAND kwa kweli walipendeza sana hadi tukaomba tuwapige picha mhhh hazikabi mwanzo mwisho!