TOPBAND

TOPBAND

Wednesday, February 24, 2010

HAPA NI STERIO BAA JANA NIPO NA KINGKIF!
Hii ni saa moja jioni jana pale Sterio Baa maeneo ya Hananasif -Kinondoni .Hapa nipo na ' mchizi wangu kichizi ' ni mmiliki na muendeshaji wa blugu kali inayoitwa kingkif .blogspot .com .Sasa basi, Top Band huwa inatoa burudani mara mbili kila wiki ambapo swiku ya Alhamisi tupo Club Masai na Jumapili tunafanya Killer Shoo pale Platinum Pub maeneo ya Mikocheni kwa kiingilio cha shilingi buku dala na nyomi huwa linapatikana vilele!Karibuni.

No comments:

Post a Comment