TOPBAND

TOPBAND

Monday, September 27, 2010

VIDEO MPYA YA T.I.D KUZINDULIWA KWA KISHINDO!

Mzigo wa nguvu ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa udi na uvumba hatimaye uko tayari kuzinduliwa mbele ya wadau wa mziki nchini Tanzania,nikiwa naandika habari huku nikiongea na director wa video hiyo bwana JOHN KALLAGE toka kampuni ya kallage pictures amedai amefunika kwani material na maswaga yaliyotumika ni ya hali ya juu sio level za kitoto,karibuni pale ZHONGHUA GARDEN Ally Hassan Mwinyi Road kwa wale wenye mwaliko rasmi na wasio na kadi ni buku tano mlangoni,burudani itangurumishwa na TOPBAND na wasanii wengine waalikwa kama NAKAAYA,JAFFARAY,STEAVE RNB na wengineyo!

No comments:

Post a Comment