TOPBAND

TOPBAND

Saturday, February 27, 2010

IT WAS A GREAT SHOW@IRISHI!

Guys it was so kickin@IRISH PUB guess wat...like kila mtu liked it we are the TOPBAND incase u dont know nau u know haya laters we goin be@ PLATNUM CLUB karibu na maeneo ya mikocheni kama vipi ibuka uone tofauti kati ya NAZI na DODO!

SOUNDCHECK IRISH PUB!

Friday, February 26, 2010

SHE PUT MY RING ON IT!

MY LOVE HAS FOUND SOMEONE WHO I CAN SHARE MY UPS AND DOWN...WIFEY.

MAUMIVU YA BARABARA YA LAMI!

dah upanuzi wa barabara hii ya hananasif imekua maumivu sana kwangu na kwa familia kwa ujumla tunavunja wenyewe tunaogopa tingatinga unalijua au unaliskia!!mungu ataleta kheri zake inshalaah  HAPPY MAULID DAY!

MUNGU WANGU.....MY STUDIO!!!!!


Dahh it wasnt a gud a week for me and tha family...i experianced alot of pain my small time studio imevunjwa hii sababu ya upanuzi wa barabara hii ya mtaani kwetu ambayo habari zake zimekua gumzo eneo hili la hananasif kuwa wanajenga barabara ya lami..sawa sisi tumetii hilo but nomore recordings kwa muda huu...inshaalah mungu ataleta kheri zake!

MKALI KAZINI

Kazi si ndogo jasho hili ni kwa akili ya kuwapa mafanz wangu BURUDANI yenye kiwango siwezi kufanya show simple was born to entertain u GUYS!

WAZEE WA NGWASUMA NDANI YA TOPBAND!

Hapa nawaona wakali kutoka NGWASUMA wakichill na dacota hii ni kuonesha kwamba mziki wa bendi yetu unakubalika na wanamuziki wenye uwezo mkubwa..thanks kwa chitokoloo aka "KUKU wwote mnakaribishwa tena mkija na vitambulisho vya bendi zenu ndo sisi wa dowwwwwwwwwwwwwwnta!"

ISMAEL SOTA JUU YA STAGE!

MZAZI mlezi wa kweli wa topband ISMAEL SOTA mzee wa magari kama unahitaji kagari ka kutumia hapa mjini pliz mtafute huyu kaka maana zipo kwene yard za ukweli kabisa na kila aina kazi kwako ukija topband huachi kitu!

MDAU WA KWELI

Mdau namba moja wa TOPBAND CHACHA BALOZI hapa akiwa ndani ya masai clib akiangalia wana jinsi gani wanashesha tupe mashavu mzazi

WAREMBO NA TOPBAND

Warembo walikua hawakuamini maana walisogea karibu kabisa na stage wakati kibao cha SIWEZI kikiwa hewani mhhhh warembo na TOPBAND

WAKALI WA DOWNTA!

Hapo unawaona wakali wakitoa raha zaidi ya maelezo kama hutaki kuhadithiwa hebu ibuka uawone...toka kushoto ni TOP,DIMPOZ NA JANUARY...WAKALI WA DOWNTA!

WAKALI WA DOWNTA!

Mpango MZIMA hapo wakali wa downtown wakileta raha ndani ya club masai kutoka kulia ni JANUARY,DIMPOZ NA PRESIDANT mwenyewe TOP,najua kuanzia next week najua itakua hapatoshi hapo masai maana attendance inatupa mzuka! 

WADAU TOKA UNITED KINGDOM!

Manager wa TOPBAND mr DACOTA akivinjari na wadau wa bendi yake ukumbi wa masai jana alkhamic wakati MZIGO wa kweli ukishuka,nahisi waliokuja jana hawajaliwa pesa YAO..kutoka kushoto mwa manager ni Alice na kulia kwake ni IRENE....haya kazi kwako kesho jmoc tuko IRISH PUB WAZUNGU TUPU HUH!

Thursday, February 25, 2010

TOPBAND KUNAKUCHA!

WAS hanging wit these beautiful QUEENS in one of ma gigs u gota come and watch my band most of tha time maceleb wa kweli ndo hivo tunakutanaga haya.....habari unazo usijiangushe!

MWANANGU

ME AND MY SON,.. five years since i last saw him this day last year he broke tha silence akamulizaa bibi is this guy on tv is he realy my dad!cant believe he called me and say dady am k im,ur son my god i was freezin,duuh mungu mkubwa nilimfata kwa bibi ake then went to mlimani city tUkapiga hii picha.......I LOVE U KID

MASTAA WA TOPBAND!

WAkali Wa Downtown hapa wakiwa nao wamekuja kufurahisha roho zao na mziki mtamu wenye akili wa TOPBand...haya mastaa hawa TARSIS MASELA NA ALLY KIBA huwa hawakosi mzigo wa topband pale platnum!

AFRICA'S FINNEST !!!!


Mnatuonaje!!! Haya TID na DBANJ ndani ya bills kipindi hiko tunasababisha,haya ndo tunamsubiri aje tena hapa platnum..dada zako hapo pembeni!

Wednesday, February 24, 2010

KILA ALHAMISI TUPO CLUB MASAI!

SINA MAELEZO ZAIDI YA UNAVYOWEZA KUSOMA TANGAZO HILI!

Huyu siyo mcheza shoo ama mwanamuziki wa bendi yangu! Ni mshabiki wa bendi yangu, alikuja kwenye shoo ya Club Masai wiki iliyopita na akaomba kukata mauno! Sikuwa na kinyongo , nikamuachia zaidi ya dakika sita akate mauno! Mauno yenyewe ni haya ! Top Band mpo jamani!





Ni mimi Tid (kushoto) nikiwa na MCD ambaye ni mpiga tumjba wa African Stars ama Twanga Papeta ilikuwa ni Jumatano wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Club Bilicanas , tuliweza kuzungumza mambo mengi na jamaa yangu huyu hususani ni sababu ipi inayofanya Twanga Pepeta walivyo juu kwa wakati huu kwenye anga za muziki wa bendi hapa Bongo.

HAPA NI STERIO BAA JANA NIPO NA KINGKIF!




Hii ni saa moja jioni jana pale Sterio Baa maeneo ya Hananasif -Kinondoni .Hapa nipo na ' mchizi wangu kichizi ' ni mmiliki na muendeshaji wa blugu kali inayoitwa kingkif .blogspot .com .Sasa basi, Top Band huwa inatoa burudani mara mbili kila wiki ambapo swiku ya Alhamisi tupo Club Masai na Jumapili tunafanya Killer Shoo pale Platinum Pub maeneo ya Mikocheni kwa kiingilio cha shilingi buku dala na nyomi huwa linapatikana vilele!Karibuni.