TOPBAND

TOPBAND

Monday, September 27, 2010

VIDEO MPYA YA T.I.D KUZINDULIWA KWA KISHINDO!

Mzigo wa nguvu ambao ulikuwa ukisubiriwa kwa udi na uvumba hatimaye uko tayari kuzinduliwa mbele ya wadau wa mziki nchini Tanzania,nikiwa naandika habari huku nikiongea na director wa video hiyo bwana JOHN KALLAGE toka kampuni ya kallage pictures amedai amefunika kwani material na maswaga yaliyotumika ni ya hali ya juu sio level za kitoto,karibuni pale ZHONGHUA GARDEN Ally Hassan Mwinyi Road kwa wale wenye mwaliko rasmi na wasio na kadi ni buku tano mlangoni,burudani itangurumishwa na TOPBAND na wasanii wengine waalikwa kama NAKAAYA,JAFFARAY,STEAVE RNB na wengineyo!

Wednesday, September 15, 2010

MAZOEZI YA TOPBAND KUJIANDAA NA SHOW ALHAMISI HII'

TUMEIMISS MASAI CLUB NA TOPBAND WIKI HII

Baada ya matengenezo makubwa CLUB MASAI wamekuja kivingine i wish uje uone ni jinsi gani club imepanuka na sehemu yote kuwa ya kisasa kabisa na wiki hii TOPBAND tunaizindua rasmi kesho tarehe 16|9|2010 mimi kama mkurugenzi wa band nasema KARIBUNI KABISA MPATE KIPENDA ROHO!

OUTING @LEVEL 8'KEMPISKY..MR N MRS TOP

IT was one day before i lost my father in law we were in tha elevator headin tha level 8 he was there mr dj pinyee aliturusha kweli ndipo kinana asked me to take a photo wat a reflection hope imetoka mchicha!

SHEIKH AKIFANYA DUA

SIKU NAMZIKA BABA MKWE 'MZEE SADDAM TANGA'

Thursday, May 27, 2010